OTRS 4- Muongozo wa msimamizi

René Bakker, Stefan Bedorf, Michiel Beijen, Shawn Beasley, Hauke Böttcher, Jens Bothe, Udo Bretz, Martin Edenhofer, Carlos Javier García, Martin Gruner, Manuel Hecht, Christopher Kuhn, André Mindermann, Marc Nilius, Elva María Novoa, Henning Oschwald, Martha Elia Pascual, Thomas Raith, Carlos Fernando Rodríguez, Stefan Rother, Rolf Schmidt, Burchard Steinbild, Michael Thiessmeier, Daniel Zamorano.

Kazi hii ina hakimiliki ya OTRS AG

Unaweza nakili yote au sehemu ya yote ilimradi nakala ziwe na taarifa ya hakimiliki.

Kanuni chanzo za huu waraka unapatikana katika github, kwenye waraka-msimamizi.

UNIX ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya X/Open Company Limited. Linux ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Linus Torvalds.

MS-DOS, Windows, Windows 95, Windows 98, Windows NT, Windows 2000, Windows XP, Windows 2003, Windows Vista na Windows 7 ni alama za biashara zilizosajiliwa za shirika la Microsoft. Alama nyingine za biashara zilizosajiliwa ni: SUSE na YaST za SUSE Linux GmbH, Red Hat na Fedora ni alama za biashara za Red Hat, Inc. Mandrake ni alama ya biashara ya MandrakeSoft, SA. Debian ni alama ya biashara ya Software in the Public Interest, Inc. MySQL na nembo ya MySQL ni alama za biashara za Oracle Corporation na washirika wake.

Majina yote ya biashara yanatumika bila kithibitisho cha matumizi yake ya bure na kuna uwezekano ni alama za biashara zilizosajiliwa.

OTRS AG kwa msingi inafuata nukuu za watengenezaji. Bidhaa nyingine zilizotajwa kwenye huu mwongozo zinaweza kuwa alama ya biashara ya mtengenezaji husika.


Table of Contents

Utangulizi
1. Utangulizi
Trouble Ticket Systems - Vya msingi
Trouble ticket system ni nini, na kwanini unaihitaji?
Trouble ticket ni nini?
OTRS Help Desk
Misingi
Vipengele
Mahitaji ya programu na vifaa
Jamii
Huduma za kitaalamu za OTRS
2. Usanikishaji
Njia rahisi - Usakinishaji wa vifurushi vilivyojengwa tayari
Kusakinisha RPM katika seva ya Linux ya SUSE
Kusakinisha OTRS katika mifumo endeshi ya Red Hat Enterprise Linux au CentOS system
Kusakinisha OTRS kwenye mfumo wa Debian au Ubuntu
Usaninishaji kutoka kwenye chanzo (Linux, Unix)
Kutumia kisakinishi cha wavuti
OTRS on Windows
How to migrate existing Windows installations to Linux
Upgrading OTRS from 3.3 to 4
Programu-tumizi za ziada
Maswali yanasoulizwa mara kwa mara
3. Hatua za mwanzo
Kiolesura cha tovuti cha wakala
Kiolesura cha tovuti cha mtumiaji
Kiolesura cha tovuti cha uma
Kuingia kwa mara ya kwanza
Kiolesura cha tovuti - mapitio
Dashibodi
Nini maana ya foleni?
Nini maana ya mapitio ya foleni?
Mapendeleo ya Mtumiaji
4. Utawala
Eneo la MSIMAMIZI wa OTRS
Misingi
Mawakala, Makundi na Majukumu
Wateja na Makundi ya Wateja
Foleni
Salamu, saini, viambatanisho na violezo
Majibu otomatiki
Anwani za barua pepe
Taarifa
SMIME
PGP
Hali
SysConfig
Kutumia akaunti zote za barua
Inachuja barua pepe zinazoingia
Kutekeleza kazi za kiotomatiki na WakalaWaUjumla
Barua pepe ya msimamizi
Usimamizi wa kipindi
Matengenezo ya mfumo
Batli ya mfumo
Maulizo ya SQL kupitia boksi la SQL
Msimaizi wa kifurushi
Huduma za Tovuti
Sehemu zinazobadilika
Usanidi wa Mfumo
Mafaili ua usanidi wa OTRS
Usanidi wa mfumo kupitia kiolesura cha mtandao
Kuweka nakala za dharura ya mfumo
Chelezo
Rejesha
Mpangilio wa barua pepe
Kutuma/Kupokea barua pepe
Linda barua pepe na PGP
Linda barua pepe na S/MIME
Kutumia mazingira ya nyuma ya nje
Data za mteja
Mazingira ya nyuma ya Mtumiaji mteja
Mazingira ya nyuma ya kuthibitisha Mawakala na Wateja
Kugeuza kukufaa usajili binafsi wa mteja
Mpangilio wa tiketi
Hali za Tiketi
Vipaumbele vya tiketi
Jukumu la Tiketi & Kuangalia Tiketi
Shughuli zinazoendana na muda
Kuseti masaa, sikuku na majira ya biashara
Ufunguaji Otomatiki
Kugeuza kukufaa matokeo ya PDF
Moduli ya takwimu
Kushughulikia moduli kwa kutumia wakala
Usimamizi wa moduli ya takwimu na msimamizi wa OTRS
Usimamizi wa moduli ya takwimu na msimamizi wa mfumo
Sehemu zinazobadilika
Utangulizi
Usanidi
Kiolesura cha Ujumla
Matabaka ya Kiolesura cha Ujumla
Mtiririko wa Mawasiliano ya Kiolesura cha Ujumla
Huduma za Tovuti
Kiolesura Michoro cha Huduma za Tovuti
Kiolesura cha Tungo Amri cha Huduma ya Tovuti.
Usanidi wa Huduma za Tovuti
Viunganishi
Mratibu wa OTRS
Kiolesura Michoro cha Mratibu
Kiolesura cha Tungo Amri ya Mratibu
5. Kugeuza kukufaa
Orodha Dhibiti Sikivu
Utangulizi
Ufafanuzi
Mifano
Marejeo
Usimamizi wa mchakato
Utangulizi
Mchakato wa mfano
Kutekeleza mfano
Rejea ya sanidi ya mchakato
Kutengeneza mandhari yako
Ujanibishaji wa mazingira ya mbele ya OTRS
6. Kuboresha Utendaji
OTRS
ModuliKielelezoTiketi
SearchIndexModule
ModuliHifadhiTiketi
Kuhifadhi Tiketi
Hifadhi muda
Hifadhidata
MySQL
PostgreSQL
Seva ya tovuti
Miunganiko ya hifadhidata iliyotengenezwa.
Moduli zilizopakiwa tayari -startup.pl
Pakia tena moduli za perl zinapo sasishwa kwnye diski
Kuchagua mkakati sahihi
mod_gzip/mod_deflate
A. Rasilimali za Ziada
B. Configuration Options Reference
DynamicFields
Framework
GenericInterface
ProcessManagement
Scheduler
Ticket
C. Leseni ya Nyaraka Huru ya GNU
0. UTANGULIZI
1. UTUMIKAJI NA FASILI
2. KUNAKILI BILA KUBADILISHA KITU
3. KUNAKILI KATIKA IDADI
4. MABADILIKO
5. KUJUMUISHA NYARAKA
6. MKUSANYIKO WA NYARAKA
7. KUJUMUISHA NA KAZI BINAFSI
8. TAFSIRI
9. USITISHAJI
10. MAREKEBISHO YA BAADAYE YA HII LESENI
Jinsi ya kutumia hii Leseni kwa ajili ya nyaraka zako

List of Tables

4.1. Makundi chaguo-msingi yanayopatikana katika usakinishaji mpya wa OTRS
4.2. Haki zinazohusishwa na makundi ya OTRS
4.3. Makundi ya ruhusa ya ziada
4.4. Matukio kwa majibu Otomatiki
4.5. Kazi za vichwa-vya-X-OTRS tofauti
4.6. Sehemu zifuatazo zitaongezwa kwenye mfumo:
4.7. Orodha ya hati za init.d na mifumo endeshi inayotumika nayo
A.1. Orodhazawatumiwa

List of Examples

4.1. Inapanga barua taka katika foleni maalumu
4.2. .fetchmailrc
4.3. Kazi za mfano kwa moduli ya kuchuja Kiini::Mfumo::MkuuWaPosta::Kichujio::Fananisha
4.4. Kazi ya mfano kwa moduli ya kuchuja Kiini::Mfumo::MkuuWaPosta::Kichujio::CMD
4.5. Kazi za mfano kwa moduli ya kuchuja Kiini::Mfumo::MkuuWaPosta::Chuja::UtambuziTiketiNambariNje
4.6. Usanidi wa hifadhidata ya mazingira ya nyuma ya mteja
4.7. Kutumia tiketi za kampuni na mazingira ya nyuma ya DB
4.8. Usanidi wa LDAP ya mazingira yanyuma ya mteja
4.9. Kutumia tiketi za Kampuni na mazingira ya nyuma ya LDAP
4.10. Kutumia zaidi ya mazingira ya nyuma ya mteja ya aina moja na OTRS
4.11. Thibitisha mawakala katika mazingira ya nyuma ya DB.
4.12. Thibitisha mawakala katika mazingira ya nyuma ya LDAP.
4.13. Halalisha Wakala kwa kutumia HTTPBasic
4.14. Thibitisha mawakala katika mazingira ya nyuma ya Radius.
4.15. Uthibitisho wa mtumiaji mteja katika mazingira ya nyuma ya DB
4.16. Uthibitisho wa mtumiaji mteja katika mazingira ya nyuma ya LDAP
4.17. Uthibitisho wa Mteja kwa kutumia HTTPBasic
4.18. Uthibitisho wa mtumiaji mteja katika mazingira ya nyuma ya Radius
4.19. Ufafanuzi wa thamani ya mfuatano - elementi moja
4.20. Ufafanuzi wa thamani za mfuatano - elementi mbili
4.21. Amilisha Sehemu1 katika Simu Mpya Tiketi Skrini.
4.22. Amilisha Sehemu1 katika Simu Mpya Tiketi Skrini kwa ulazima.
4.23. Amilisha sehemu mbali mbali katika Simu Mpya Tiketi Skrini.
4.24. Lemaza baadhi ya sehemu katika Simu Mpya Tiketi Skrini.
4.25. Amilisha Sehemu1 katika Skrini Kuza Tiketi.
4.26. Amilisha Sehemu1 katika Mapitio ya Skrini Ndogo za Tiketi.
4.27. Amilisha Sehemu1 katika kitendo cha TengenezaTiketi.
4.28. Amilisha Sehemu1 katika mapendeleo ya Mtumiaji.
4.29. Mfano kuanzisha Mratibu wa OTRS kwenye linux
4.30. Mfano Kuanza Mratibu wa OTRS
4.31. Mfano kulazimisha kusitisha Mratibu wa OTRS
5.1. ACL inayoruhusu uingizwaji kwenye foleni wa tiketi zenye kipaumbele cha tiketi 5.
5.2. ACL inaruhusu uingiaji kwenye foleni kwa zile tiketi zenye kipaumbele cha tiketi 5 na zimehifadhiwa kwenye hifahdidata.
5.3. ACL ikilemaza ufungaji wa tiketi katika foleni mbichi, na kuficha kitufe cha kufunga.
5.4. Uondoaji wa ACL una hali imefungwa kikamilifu mara zote.
5.5. ACL inaonyesha huduma za Vifaa kwa ajili ya tiketi ambazo zinatengenezwa kwenye foleni zinazoanza na "HW"
5.6. ACL to restrict a Process in the customer frontend using the CustomerID.
5.7. Rejea inayoonyesha mipangilio yote muhimu ya ACLs.