Chapter 3. Hatua za mwanzo

Table of Contents

Kiolesura cha tovuti cha wakala
Kiolesura cha tovuti cha mtumiaji
Kiolesura cha tovuti cha uma
Kuingia kwa mara ya kwanza
Kiolesura cha tovuti - mapitio
Dashibodi
Nini maana ya foleni?
Nini maana ya mapitio ya foleni?
Mapendeleo ya Mtumiaji

Abstract

Lengo la sura hii ni kutoa mapitio mafupi ya OTRS na muundo wa kiolesura chake cha tovuti. Misemo 'mawakala', 'wateja', na 'wasimamizi' imetambulishwa. Pia tunaingia kama msimamizi wa OTRS na kuangalia kwa karibu mapendeleo ya mtumiaji yanayopatikana kwenye kila akaunti.

Kiolesura cha tovuti cha wakala

Note

Before logging on for the first time, please consider activating the HTTPS on your web server in order for OTRS to be served as a secure app over SSL/TLS protocol. For detailed instructions on how to do this, please consult the documentation of your web server (e.g. Apache2).

After you activate HTTPS, please set the configuration option HttpType to https in SysConfig. This will make sure that all internal links in OTRS are indeed using HTTPS.

Good practice is to also redirect all HTTP traffic to HTTPS, in case someone tries to access the OTRS via an insecure link. This should be done on web server configuration level for maximum effect.

Kiolesura cha tovuti cha wakala kinamruhusu wakala kujibu maombi ya wateja, kutengeneza tiketi mpya za wateja au mawakala wengine, kuandika tiketi kuhusu simu zilipigwa na wateja, kuandika maingizo ya maswali yaliyoulizwa mara kwa mara, kuhariri data za wateja, na kadh.

Tuseme mwenyeji wa OTRS yako anapatikana kupitia URL http://www.example.com , kisha skrini ya kuingia ya OTRS inaweza kufikiwa kwa kutumia anwani ya wavuti http://www.example.com/otrs/index.pl katika kivinjari wavuti (ona Kielelezo chini).

Kielelezo: Skrini ya kuingia ya kiolesura cha wakala.