Programu-tumizi za ziada

Maswali yanasoulizwa mara kwa mara

Abstract

Unaweza kusakinisha vifurushi vya ziada vya programu tumizi kupanua sifa za kiunzi cha OTRS. Hii inaweza kufanyika kupitia meneja vifurushi kutoka kwenye kurasa ya Msimamizi, ambayo inapakua programu tumizi kutoka kwenye hifadhi ya mtandaoni na kusimamia utegemezi wa vifurushi. Pia inawezekana kusakinisha vifurushi kutoka kwenye mafaili ya ndani.

Maswali yanasoulizwa mara kwa mara

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara ni kijenzi cha msingi wa maarifa. Inaruhusu kuhariri na kuona makala za Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara. Makala yanaweza kuonwa na kuzuiwa kwa wakala, wateja watumiaji, au watumiaji wasiojulikana. Hizi pia zinaweza kupangwa katika makundi, na kusomwa katika lugha tofauti.