Kiolesura cha tovuti cha mtumiaji

Wateja wana violesura tofauti vya tovuti katika OTRS ambavyo wanaweza kutengeneza akaunti mpya, kubadilisha mipangilio yao ya akaunti, tengeneza na kuhariri tiketi, kupata mapitio ya tiketi walizotengeneza, na kadh.

Mwendelezo wa mfano juu, skrini ya kuingia ya mteja inaweza kufikiwa kwa kutumia URL http://www.example.com/otrs/customer.pl na kivinjari wavuti (ona Kielelezo chini).

Kielelezo: Skrini ya kuingia ya kiolesura cha mteja.