Mapendeleo ya Mtumiaji

Watumiaji wa OTRS kama wateja, mawakala na msimamizi wa OTRS wanaweza kusanidi mapendeleo ya akaunti zao kwa mahitaji yao. Wakala anaweza kufikia skrini ya usanidi kwa kubofya kwenye majina yao ya kuingia kwenye mfumo katika kona ya juu ya kulia ya kiolesura cha wavuti (ona Kielelezo chini), na wateja lazima wabofye kwenye kiungo cha "Mapendeleo" (ona Kielelezo chini).

Kielelezo: Mapendeleo binafsi ya wakala

Wakala anaweza kusanidi kategori 3 za mapendeleo: umbo wa mtumiaji, mipanhgilio ya barua pepe, na mipangilio mingine. Vinavyowezekana kwa kawaida ni:

Umbo wa Mtumiaji

Mipangilio ya barua pepe

Mipangilio mingine

Kielelezo: Mapendeleo binafsi ya mteja.

Mteja anaweza kuchagua lugha ya kiolesura cha tovuti, kuseti muda wa kuonesha upya mapitio ya tiketi, na kuchagua kikomo cha idadi ya tiketi zinazoonyeshwa. Pia inawezekana kuseti nywila mpya.