Nini maana ya mapitio ya foleni?

Mapitio ya foleni yanatoa muonekano wa foleni zote ambamo tiketi zipo, na ambamo mtumiaji ana haki za kusoma na kuandika.

Mapitio ya foleni yanatoa machaguo mbali mbali kwa kazi za kila siku na OTRS. Ya kwanza ni Foleni Yangu. Kwenye Mapendeleo ya Wakala, au wakati wa usimamizi wa mawakala, seti ya foleni zinaweza kufafanuliwa ambazo wakala anafanya kazi ndani yake. Tiketi zote zitatokea katika huu muonekano wa kawaida, wakati wakufikia Tiketi -> Foleni Ona Menyu.

Chaguo la pili linalotolewa na Muonekano wa Foleni ni kuchimba hini uabiri kwenda kwenye foleni binafsi na foleni ndogo zenye tiketi za kufanyiwa kazi.

Katika aina zote mbili za muonekano, mtumiaji pia ana uwezo ulioongezwa wa kuona aidha tiketi zote zilizofunguliwa (hiki ni kichujio chaguo-msingi), au mtumiaji anaweza kuchagua kuona tiketi zote zinazopatikana. Tiketi lazima ziwe katika moja ya hali zinazo onekana ili kuonyeshwa katika muonekano wa foleni. Kwa chaguo-msingi hizi ni 'wazi, mpya, kikumbusho kinachosubiri, inayosubiri kiotomatiki'.

Kuna kengele zinazoonekana, kumsaidia mtumiaji.

Kengele Zinazoonekana