Unaweza kunakili na kusambaza waraka kwa njia yoyote, aidha kwa biashara au sio kwa biashsara, ukizingatia kwamba hii Leseni, notisi za hakimiliki, na notisi za leseni zinasema hii Leseni inafanya kazi kwa waraka huu inakuwepo kwa kila nakala, na huongezi masharti mengine yoyote kwa yale yaliyopo kwenye hii leseni. Hutakiwi kutumia vipimo vya kiufundi kuzuia au kudhibiti usomaji au utengenezaji wa nakala zingine zaidi ya zile ulizotengeneza au kusambaza. Hata hivyo unaweza kupokea fidia kwa ajili ya nakala. Kama ukisambaza idadi ya kutosha ya nakala pia ni lazima ufuate masharti katika kifungu cha 3.
Unaweza pia kuazima nakala, chini ya masharti sawa na yaliyosemwa juu, na unaweza kuonyesha kwa umma.