Mkusanyiko wa Nyaraka au sehemu zake na nyaraka nyingine tofauti na huru au kazi, juu ya au ndani ya hifadhi ya wingi au chombo cha usambazaji, haihesabiki kwa ujumla kama Toleo lililonbadilishwa la Nyaraka, ikiwa hakuna hakimiliki ya ukusanyaji iliyoombwa. Mkusanyiko wa aina hii unaitwa "aggregate", na hii Leseni haifanyi kazi kwenye kazi nyingine za binafsi ambazo zimejumuishwa na Nyaraka, kwa kuwa zimejumuishwa, kama zenyewe siyo sehemu za kazi ya Nyaraka.
Kama mahitaji ya Nakala ya Jalada ya kifungu 3 yanaweza kutumika kwenye hizi nakala za Nyaraka, basi kama nyaraka ni ndogo zaidi ya robo ya mkusanyiko mzima, Nakala za Jalada la Nyaraka zinaweza kuwekwa kwenye majalada ambayo yanazunguka Nyaraka tu ndani ya mkusanyiko. La sivyo lazima zitokee kwenye majalada kwenye mkusanyiko wote.