Hifadhidata

MySQL
PostgreSQL

Masula ya DB yanategemeanan na hifadhidata inayotumika. Jifunze kupitia nyaraka za hifadhidata yako au onana na msimamizi wa hifadhidata yako.

MySQL

Kama ukitumia jedwali la MySQL la aina MyISAM (ambalo ni chaguo-msingi), na ukafuta sehemu kubwa ya jedwali au kama umefanya mabadiliko mengi kwenye jedwali yenye safu mlalo zenye urefu unaobadilika (majedwali yenye safuwima VARCHAR, BLOB na NAKALA), lazima uunganishe vipande vya faili la data (majedwali) kwa kutumia amri "sadifisha"

Unatakiwa kujaribu hili kama mysqld daemon inahitaji sana kutoka kwenye muda wako wa CPU. Sadifisha majedwali - tiketi, tiketi_historia na makala (ona Hati chini).

shell> mysql -u user -p database
mysql> optimize table ticket;
mysql> optimize table ticket_history;
mysql> optimize table article;
            

Hati: Kuongeza ufanisi wa majedwali msingi ya data.

PostgreSQL

PostgreSQL is best tuned by modifying the postgresql.conf file in your PostgreSQL data directory. For advice on how to do this, reference the following articles:

If performance is still not satisfactory, we suggest that you join the PostgreSQL Performance mailing list ( http://www.postgresql.org/community/lists/ ), and ask questions there. The folks on the PostgreSQL list are very friendly and can probably help.