Tunajaribu kukusaidia na taarifa mpya kuhusu OTRS. Pia tunakupa nafasi ya wewe kutupatia maoni yako.
The OTRS website with source code, documentation and news is available at http://www.otrs.com/. Here you can also find information about commercial services and trainings from OTRS Group, the creator of OTRS.
For services (support, consulting, development, and training) you can contact the company behind OTRS, OTRS AG. Our offices are located in Germany, USA, Mexico, the Netherlands, and in other countries. Visit our website for contact information.
Table A.1. Orodhazawatumiwa
Jina | Maelezo | Ukurasa wa nyumbani |
---|---|---|
announce@otrs.org | Orodha ya hali chini ya msongamano, kwa Kiingereza, kwa ajili ya matangazo ya matoleo mapya ya OTRS na masuala ya usalama. | http://lists.otrs.org/cgi-bin/listinfo/announce |
otrs@otrs.org | Orodha ya hali ya kati kwenda juu ya msongamano, kwa Kiingereza, ambapo unaweza kupata maswali ya aina zote yanayohusika na msaada kuhusu bidhaa. | http://lists.otrs.org/cgi-bin/listinfo/otrs |
otrs-de@otrs.org | Orodha ya hali ya kati kwenda juu ya msongamano, kwa Kijerumani, ambapo unaweza kupata maswali ya aina zote yanayohusika na msaada kuhusu bidhaa. | http://lists.otrs.org/cgi-bin/listinfo/otrs-de |
dev@otrs.org | Orodha ya hali ya kati, kwa Kiingereza, ambapo waundaji wa OTRS wanajadili masuala mbali mbali ya usanifu na utekelezaji. | http://lists.otrs.org/cgi-bin/listinfo/dev |
i18n@otrs.org | Orodha ya hali ya chini, kwa kiingereza, kwa ajili ya maswali ya kuafanya iwe ya kimataifa na ya ujanibishaji. Kama wewe ni au unataka kuwa mtafsiri wa mradi wa OTRS au una matatizo na moja ya programu-tumizi zetu katika mazingira ya kimataifa, hapa ndipo unatakiwa kujiunganisha. | http://lists.otrs.org/cgi-bin/listinfo/i18n |
To report software defects, please visit http://bugs.otrs.org/ (see Figure below). Please take note of the difference between a bug and a configuration issue. Configuration issues are problems that you encounter when setting a system, or general questions regarding the use of OTRS. Bug reports should only be used for issues with the source code of OTRS or other open source OTRS modules itself. For configuration issues, you should either use the commercial support, available from OTRS.com, or the public mailing lists.
You help us a lot to improve the product by reporting bugs. We appreciate your input!